in

Mbosso Afumaniwa Kwenye Tembo La Mnazi! 😀🍻


Msanii Mbosso kutoka Wcb Wasafi amefumaniwa kwenye Mnazi?

Msanii huyo wa bongo fleva, ameonyesha kuwa ni mpenzi wa vinywaji vitamu kama vile Maziwa.

Mkali huyo Kwa sasa ameshateuliwa kuwa balozi wa Tanga Fresh maziwa huko Tanzania.

Mbosso

Mbosso ameteka dunia kupitia muziki wake wa bongo fleva kwani amejizoelea umaarufu kipitia ngoma kama vile ‘Yalah, Baikoko’ na nyinginezo.

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Diana Marua Exposed Her Juicy Curves To Ashame Bahati!πŸ™‰πŸ˜ΉπŸ‡°πŸ‡ͺ

Manchester United The Best Alternative For Harry Kane!