in

Lilian Muli Atongoza Mwanaume Live Kwenye Radio! πŸ˜‚πŸ˜»πŸ€£πŸ‡°πŸ‡ͺ

Mwanahabari mrembo kutoka Ukambani amwaga ya moyoni.

Mwanahabari huyo wa Kituo cha runinga cha Citizen (Citizen TV) amefunguka mengi wakati akiwa kwenye mahojiano kwenye pindi kimoja kwenye Radio Maisha.

Lilian Muli amesema kuwa yeye pia ni mlevi wa pombe japo sio wengi wanafahamu hilo.

Baada ya kulizwa kati ya Willis Raburu, BenGithae na Ken Wa Maria, yupi anaweza kumpa Kiss, na yupi anaweza kukubali kwenda date naye, na Nani anaweza kumpiga Kofi, Lilian Muli akasema hivi;

“Naweza kukiss Raburu, Niende date na Ken Wa Maria, Nimslap au kumpiga Kofi Ben Githae”

Mwanadada huyo vilevile amekiri wazi kuwa yeye ndiye anatongoza wanaume sio wanaume kumtongoza.

Alienda kwa kumtania kumtongoza mwanahabari huyo Billy Mia wa Radio Maisha aliyekuwa akimhoji.

“Sasa sweety, how are you, si Leo nikupeleke out Kiambu Kwa ride ya Range…” alisema Lilian Muli.

Je, unaweza kukubali kutongozwa na kupelekwa date na mwanamke ukiwa mwanaume? πŸ€—

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

AFCON 2022 Group Stages Outlined! ⚽

Timu Ya Taifa Ya Ufaransa Yasabisha Kuzimwa Kwa Internet Kisa Picha Za Ngono! πŸ˜»πŸ€—