in

Timu Ya Taifa Ya Ufaransa Yasabisha Kuzimwa Kwa Internet Kisa Picha Za Ngono! πŸ˜»πŸ€—

Mtandao wa internet ulilazimika kuzimwa kwa takribani masaa manne baada ya picha za uchi kusambaa France.

Inadaiwa kuwa timu ya taifa ya Ufaransa ilisabbisha tukio hilo la kuzimwa kwa internet.

Mmoja wa wachezaji ambaye ni kiungo wa kati kwenye timu alituma picha (emoji) za ngono kwenye mmoja wapo wa WhatsApp group za wachezaji huko France bila kufahamu kuwa Kocha wao wa France alikuwemo kwenye group hio.

Baadhi ya wa wachezaji wakazisambaza hizo picha za uchi ambazo zilionyesha utupu ‘kisima cha laana’.

Tukio hilo lilisababisha kufungwa kwa internet kwenye Kambi hio ya timu ya taifa ya Ufaransa kwa masaa manne.

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Lilian Muli Atongoza Mwanaume Live Kwenye Radio! πŸ˜‚πŸ˜»πŸ€£πŸ‡°πŸ‡ͺ

Picture: God’s Angel Appears During TV Joshua’s Burial Ceremony! β˜ οΈπŸ§œβ€β™‚οΈπŸ‘°