in

‘Ali Kiba Na Kuku Wake Watu Amelipuka!’πŸ˜†πŸ€£πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Ali Kiba amelipuka mara tu baada ya wimbo wake mpya Diamond Platnumz.

King Kiba ambaye ndiye boss wa Kings Music Records, ameweka wazi kuwa yeye hana mshindani bongo fleva.

Mkali huyo wa ‘Seduce Me’ amekuwa gumzo mno kufuatia ngoma mpya chini ya lebo yake hio Kings Records, ‘Ndombolo’.

Kupitia ukrasa wake wa Instagram, King Kiba ameandika caption yenye utata huku akiwa na kundi lake la wasanii wa Kings Records.

“Kuku wangu watatu ni bora kuliko Ng’ombe wenu kumi” aliandika Kiba.

Hii inadhamiriwa kuwa yeye anauwezo mkubwa pamoja na wasanii wake wachache pale Kings Music Records kuliko genge la wasanii wa Diamond Platnumz huko Wcb Wasafi.

Je, unahisi kuwa King Kiba na ‘Kuku wake watatu’ wanatosha balaa za ‘Ng’ombe kumi wa Wcb Wasafi?’πŸ˜‚

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Robert Burale The Coach!πŸ‡°πŸ‡ͺ

Harmonize – ‘Sandakalawe’ New Music