in

Picha: Konde Boy Amla Ex Wa Diamond Platnumz, Tanasha! πŸ˜‹

Vita zimeanza pale makao makuu ya Wcb Wasafi na Konde Gang.

Simba ameingia vitani na mwanafunzi wake, Tembo Harmonize.

Diamond Platnumz ameonekana kukerwa mno na tabia ya Harmonize kunyapianyapia warembo wake punde tu baada ya kuvunja mahusiano yao.

Baada ya Diamond Platnumz kumwaga Wolper Jacqueline, Harmonize alijisogeza Kwa Wolper. Baada ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz kutengana, Konde Boy alijisogeza hapo japo kwa chini chini.

Mara Konde Boy alipania kutoka na Zari The Bossy Lady, je ni uadui au dharau?

Hivi Leo, Konde Boy anadaiwa kumla mrembo wake Simba, Tanasha Donna.

Picha zao wawili zimezagaa mitandaoni wakati wawili hao wamesogeleana mno wakati Harmonize amezuru nchini Kenya wikiendi iliyopita, Nairobi.

Je, Konde Boy atawezana na balaa Zitoooo la Simba?πŸ˜₯

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Malaba Central Ward MCA 2022 πŸ‡°πŸ‡ͺ

Zuchu Mjamzito, Nani Shemegi Yetu?! πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡Ώ