in

Zuchu Mjamzito, Nani Shemegi Yetu?! πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

“Nimunyime Kwa Nini, Na ashaa Nogewaa,, Nampatia Sugar Sukari…” ndivyo anavyoimba Zuchu wimbo wake wa Sukari!

Mrembo na Staa huyo kutoka Wcb Wasafi bongo amezuka na mengine mapya.

Zuchu ambaye kwa sasa anatesa anga za burudani kupitia vibao vyake moto moto, anadaiwa kuwa mjamzito.

Fununu za chini chini zinasema kuwa, huenda Zuchu karambishana Sukari akaonogewa mwenyewe.

Je, ni Simba Diamond Platnumz au Mbosso mwenye hio michezo?

Nani tutegemee kuwa Shemegi yetu?

Je, ni wimbo gani wa Zuchu unakunogea sawasawa?🍭

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Picha: Konde Boy Amla Ex Wa Diamond Platnumz, Tanasha! πŸ˜‹

Robert Burale The Coach!πŸ‡°πŸ‡ͺ