in

Zuchu Afumwa Live Akipigania Mwanaume (Video)πŸ€”

Msanii wa Wcb Wasafi yake Diamond Platnumz ameachia video ya kazi yake mpya.

Zuchu ambaye anatamba kwa Ngoma mpya kwa jina ‘Nyumba Ndogo’ baada ya kutesa anga za burudani na kibao chake maarufu kama ‘Sukari’.

Hii hapa video yake ya ‘Nyumba Ndogo’ ambayo ipo tayari YouTube.

VIDEO Mpya: https://youtu.be/KsU31FyvFxY

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Facts: Scannable QR Code Advertisement On The Sky!

New Video: Harmonize,Sandakalawe!