in

Nay Wa Mitego ‘Amvua Nguo Tajiri Fred Vunja Bei Kisa Ushamba’ πŸ™ŠπŸ€£πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Wah, bongo Tanzania kimenuka aisee.

Mbona ni kama michambo hivi? Msanii rapper mkali Nay Wa MITEGO amewataka Watanzania kimkumbusha tajiri Fred Vunja Bei kuwa asishobokee wanawake wa mjini haraka hivyo.

Anadai akumbushwe kuwa walikuwepo washamba wa wanawake kama yeye na wakapotea.

“Naomba mmukumbushe Fred kuwa walikuwepo wauza nguo wenye hela kuzidi yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena. Kwa huyo na yeye kwa ushamba huo huo wa Mademu tutamsahau ni suala la muda tu” Nay Wa Mitego.

Msanii huyo amefunguka ya moyoni baada ya kuona Fred Vunja Bei akiwashauri wanawake kuwa mstari wa mbele kuombe pesa Kwa wanaume zao, alipost hivi; “Moja kati ya starehe za mwanaume ni kuombwa pesa na mpenzi wake na amsaidie (Raha Sana), dada zangu ukiacha kumuomba hela huyo kaka kwako kujikuta wife material ujue kuna starehe unamnyima atatafuta mwengine wa kumuomba pesa” alipost Fred Vunja Bei.

Je, kauli yake tajiri Fred Vunja Bei Ina Ukweli wowote?😁

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Four (4) Worst Quotes Of Ending Relationship! πŸ‘™

Diamond Platnumz Aingia Studio Na Rihanna, Itakuwaje!πŸ’₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ