in

Men Please Don’t Marry These Kind Of Ladies!πŸ‘ŽπŸ™„

Epuka Kwa Haraka Wanawake Wa Design Hii

Kuna aina za wanawake wa kukaa kwenye mahusiano ya ndoa na wengine ni balaa tupu.

Kipindi wewe mwanaume unaweza kupata jiko, basi unafaa kuwaza na kuzingatia mambo kadhaa.

Uzuri na Mwonekano wa mwanamke usiwe kipao mbele wakati unafanya uteuzi wa mwanamke mzuri wa ndoa.

Kuna aina za wanawake unafaa kuepuka kwa gharama zozote;

  1. Wanaovaa Nguo Fupi- Kilukweli mwanamke yeyote atavutia akifaa nguo fupi kama miniskirt. Ila mwanaume ukiona mwanamke anayevaa Nguo ndefu inayomsitiri vizuri na kisha akawa anakuvutia, chukua huyo ni dhahabu manake anajua kuheshimu na kulinda Mali za mumewe.
  2. Wanaoamini Uzuri wao ni Bora kuliko Tabia – Safi kabisa, yaani mwanamke anayethamini sura yake kuliko Tabia zake, eupa huyo haraka upesi. Huyo hawezi kukuheshimu na wala hana muda wa kuweka misingi ya tabia na mwenendo mzuri kwa mahusiano ya ndoa. Kaa mbali na yeye!
  3. Wanaowaza Pesa Muda Wote – Hapa utakuja kwamba ndoa ni mtego kwa mwanaume asiye na akili kamilifu.
    Wasichana wengi vichwa vyao vimejaa pesa tu yaani wanachowaza pesa kwanza na kama huna anatorokea Kwa jirani.
    Wapo wasichana wametegeshwa na Wazazi hao na hivyo ni biashara wanayofanya kwenye mahusiano.
    Mwanaume usikuwe maziwa lala, amka manake ndoa ndoano. Mwache aende zake mwanamke anayewaza pesa kwako muda wote wala hana muda wa kufanya miradi ya maendeleo yenu pamoja.

Je, unadhani kuna aina gani ya wanawake wa kuepukwa kwenye mahusiano?πŸ˜‚

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Kumbe; She Was Conned Money, Late Caroline Kangogo Tells Kenyans!πŸ’°πŸ’Έ

How to Write My Research Paper