in

Diamond Platnumz Afukuzwa Kwenye Event Ya Ali Kiba πŸ˜ πŸ˜ŽπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Aisee usichukulie poa kabisa hii imekuwa tabu!

Kwenye bonge la event iliyotokea hapo jana usiku tarehe 6/10/2021 ndani ya Serena Hotel jijini Dar Es Salaam Tanzania, msanii mkali wa bongo fleva alikuwa na uzinduzi wa album mpya yake.

Msanii huyo, Ali Kiba aka King Kiba, alikuwa kawaalika watu mashuhuri mno kwenye ‘#ONLY ONE KING LISTENING PARTY’.

Wasanii pia mbalimbali walipokea mwaliko wa Ali Kiba kama vile Mr Blue, Nay Wa Mitego, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Dully Sykes, Mario, Mwajaku, Shilole, Nandy, Wema Sepetu, Joti, Millard Ayo, Bdozen, Dullah Planet, Kitale, Joseph Kusanja, Soudy Brown, Patoranking na dada kutoka France.

Ajabu ni kuwa wasanii wote waliokuwa au walioko chini ya usimamizi wa Wcb Wasafi, hakupewa nafasi yoyote kuonekana kwenye event ya King Kiba. Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Zuchu, Killy na wengineo hawakupata mwaliko huo.

Kwenye Album hio yake msanii Ali Kiba, amewashirikisha wasanii wengineo kama vile msanii wa Kenya, Nyashinski, Patoranking kutoka Nigeria na wengineo.

Tayari baadhi ya nyimbo zake kwenye hio album mpya kwa jina #OnlyOneKing zimeachiwa kwenye digital platforms zote duniani.

Kwa YouTube, amepost video tayari za baadhi ya ngoma kama vile, ‘Amour, Niteke ft Blaq Diamond, Oya Oya.

Je, unahisi Ali Kiba (Kings Music) alifanya ubaguzi kutowaalika wasanii wa Wcb Wasafi haswa Diamond Platnumz?πŸ˜‚πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

The Naiboi Tied Hands For Two Years Is Back! πŸ’”πŸ™†πŸ»β€β™€οΈπŸ˜₯

How To Hack And Increase Your Safaricom Fuliza Limit! πŸ˜‹πŸ’ͺπŸΌπŸ’°