in

Suluhu Ni Zaidi Ya Pombe!πŸ˜‚

Leo kizaazaa kimetokea kwenye mitandao baada ya Rais wa Demokrasia ya Muungano wa Tanzania kutaja haya.

Rais Mama Samia Suluhu anadaiwa kuwa ni zaidi ya Pombe amabaye ni hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyeaga dunia akiwa kazini kama rais wa Tanzania mapema mwaka huu 2021.

Rais Samia Suluhu ameweka wazi kuwa endapo mwanamke atadhubutu kumuomba pesa mwanaume ambaye sio mume wake, basi mwanamke huyo alipotiwe kwenye Kituo cha polisi ili achukuliwe hatua za kisheria.

Je, unahisi kuwa Wanawake wanafaa kuomba pesa Kwa wanaume ambao sio wapenzi wao?πŸ˜ŽπŸ™†πŸ»β€β™€οΈ

What do you think?

Written by Antony Makenzi

Antony Makenzi is a content writer who has sharpened his skills and absorbed knowledge on Financial freedom, Wealth, Making Money Online and development of a mindset!

Comments

Leave a Reply

Loading…

0

Ronaldo To Add Extra Twin Babies! πŸ˜‹πŸ˜˜

Kylian Mbappe Gifts Kipchoge Signed PSG Jersey And Boots!πŸ˜‹