Aisee! Diamond Platnumz Aomba Msaada Wa Ulinzi Baada Ya Tukio Hili! 😎

Dah! Aisee ukiskia jina Simba basi wewe ogopa sana.

Simba ni mnyama balaa kwenye mbuga la wanyama na hapendi mchezo.

Yule Simba kutoka mbuga ya Tandale amevimba na round hii ameapa kuvunja uzio wa mbuga hio na kusaka wanaomchezea yaani amekasirika sio kidogo.

Kutokana na list ya jarida Moja kubwa Duniani, Forbes ambalo lilichapisha list ya watu wenye utajiri kubwa barani Afrika, jamani walikosea kumtaja Simba Diamond Platnumz.

Kwenye orodha hio ya Forbes waliandika kuwa Diamond Platnumz utajiri wake sio kiasi kikubwa hivyo wakampa namba ya chini karibu awe wa mwisho kwenye list hio iliyoorodheshwa wasanii matajiri ishirini pekee.

Amepost picha ifuatayo na kisha akaambatanisha na caption hio.

Kupitia ukrasa wake wa Instagram, Diamond Platnumz amewasuta na kuwatishia hao wana Forbes kuwa yeye ni tajiri na wala wasijaribu kumuweka kwa list zao kama hawana report kamili ya utajiri wake.

Msanii huyo wa bongo fleva ambaye ndiye boss wa Wcb Wasafi anasemekana kuwa ni zaidi ya dollar Million 7 za marekani (USD$ 7Million) na ndiye msanii tajiri Tanzania huku akifutiwa na msanii ambaye ni mheshimiwa mbunge Professor Jay.

Simba Diamond Platnumz

Lakini pia huwenda kuwa Diamond Platnumz ameanza mbwembwe za kutafutia Kiki album yake mpya ‘World Album’ atakayoachia soon.

Leave your vote

-1 points
Upvote Downvote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.