in ,

Alikiba Ampongeza Na Kumeombea Rais Mama Samia !

Kwenye hafla ya leo ya kusherehekea siku ya kuzaliwa yake Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ali Kiba amwaga radhi.

Ali Kiba mbele ya Rais Samia Kwenye siku yake ya Kuzaliwa

King Kiba msanii wa bongo fleva ameonekana kuvutiwa na Kazi anazofanya haswa maendeleo katika Taifa hilo ambapo amemshkuru sana Rais Mama Samia Kwa Juhudi zake kupambana kila siku kuboresha Tanzania.

Katika ujumbe wake Kwa Mama Samia, Ali Kiba ameandika hivi;

“Allah aendelee kukuongoza katika majukumu yako kama Rais na Mama wa Taifa letu la Tanzania. Busara, Upendo, na Uzalendo uendelee kutawala katika majukumu yako. Nakuombea afya njema ya mwili na akili, mafanikio, maisha marefu na ukamilifu wa ndoto zote njema ulizonazo juu ya nchi yetu. Happy Birthday Mh. @samia_suluhu_hassan”

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Mapoz – Mr Blue x Diamond Platnumz ft Jay Melody (Official Lyrics Video)

Stun Warning To Women On Dating Apps Medical Doctor Issues! ⚠️