Baada Ya Simba Sasa Ni Chura Wa Tandale! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Kutoka Uswahilini Tanzania Leo mfahamu huyu msanii anayekuja kwa kasi.

Wapo wasanii chipukizi ambao bado licha ya kujituma kwenye sanaa ya Muziki Hali haijakuwa shwari.

Ukiskia ‘Simba’ (Diamond Platnumz) kutoka mbuga ya Tandale, basi chunga kurukiwa na ‘Chura’ wa ziwa la Tandale (Sholo Rapper).

Read Also: ‘Rule’ Of Pokomo Princess Made Kenya National Anthem?

Msanii Sholo Rapper ni kijana chipukizi anayetia fora kwenye Muziki wa aina ya Singeli Fleva ambao ndio aina ya muziki wenye mbwembwe nyingi kwa sasa kutoka kwa Mashabiki.

Hii hapa Ngoma yake Chura wa Tandale Sholo Rapper ‘Ndembe Ndembe’.

Related: Harmonize Goes Crazy After This New ‘Gamble’ Tattoo!

Click link hapa chini kupakua wimbo huo sasa.

Video: https://youtu.be/oTSEw5kQWJ8

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.