BAHATI APATIKANA LIVE AKIVUTA BHANGI ONA SASA HUYU๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ญ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

Wah, hii ni habari mbaya sana.

Bahati apatikana na bhangi wazi wazi mchana kweupe.

Msanii huyo wa gospel Kenya amevumaniwa live alivuta msokoto wa aina ya bhangi na baadhi ya picha zimesambaa.

Bahati ambaye kwa sasa anatesa anga za burudani kupitia album yake mpya, #Love Like This, amepost picha yake akijishaua jinsi alivyomjeuri kuwa msanii wa kwanza wa muziki wa aina ya gospel kuonekana na tabia za kuonyesha uvutaji wa sigara kubwa za aina ya kiko au hata msokoto wa bhangi.

Kupitia ukrasa wake wa Instagram, Bahati amepost picha hio akiambatanisha ujumbe huu;

“Hio bhangi umefundishwa kuvita juzi naona imekuchanganya Akili” alicomment Msanii Kalighraph Jones

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.