Khaligraph Jones aka Papa Jones aitupa Bongo Fleva gizani.
Baada ya comedian Mulamwah kutupa dongo la kejeli kwenye muziki Wa Bongo Fleva na kudiss wasanii Wa Rap Tanzania wakiwemo wasanii Wa Wasafi Classic, OG Khaligraph amepasua mbarika.

On his new Diss track ambayo ameachia on his YouTube channel some hours ago, the rapper is on fire kwani anazingumzia udhaifu Wa Wasanii Wa Tanzania.
Je, Umeskiliza Kazi mpya Hii hapa sasa Tazama.
GIPHY App Key not set. Please check settings