Diamond Platnumz Leo ameambulia fedheha kwenye birthday party yake.
Msanii huyo mkali wa bongo fleva, ameadhimisha miaka 32 yake baada ya kuzaliwa na kuweko duniani.
Pamoja na wageni mashuhuri waalikwa kwenye birthday party hio iliyofanyika kwake nyumbani kwenye Mansion yake Mbezi Beach Dar Es Salaam, Simba ameonyesha kufuru kwa kiasi kikubwa.
Mkali huyo wa #Nitaanzaje alipokea zawadi kochokocho kutoka kwa marafiki zake akiwemo dadake Esma Platnumz aliyemletea bonge la simu- iPhone 13 ya kiasi kikubwa takribani Ksh 170,000/-.
- FIFA To Prevent African Players To Win World Cup! ๐Josรฉ Mourinho wants FIFA to prevent African players from representing countries other than their country of origin. He thinks such…
- Busia Man Buys Himself A Third Coffin ! โฐ๏ธ๐ฐ๐ชAn Old Busia Man buys himself a third coffin worth Ksh 58,000 in preparation for his burial Incase he dies.…
- Indonesian Woman Finally Finds Out Her Husband Is Actually A Woman After 10 Months In Marriage! ๐ซ๐ฎ๐ฉThis looks weird really?! After starting up a relationship online, the two online lovers met up for in-person dates and…
- Mapenzi Wololo: She Said YES! Harmonize Who Was Dumped Hooks Her Back In Style! ๐๐ฅฐHarmonize who once tried to have sex relationship with daughter of his girlfriend back again on it. Konde Boy was…
- No Scoring In Qatar Fifa World Cup 2022!๐๐The government of Qatar has passed a stern warning to all single ladies and gentlemen who will attend the event…
Esma Platnumz alisema kuwa aliwaza kitu gani anaweza kumtunuku kaka yaks huyo Diamond Platnumz, akawaza gari Ila akafikiria kuhusu magari anayomiliki Diamond Platnumz ni ya aina ya kifahari zaidi kwani anamiliki Roll Royce Cullinan, Escalade, na mengineo.
Hivyo, Esma Platnumz akaaamua kumzawidi iphone 13 huku akimtakia kheri njema ya maisha yake.
Simba, ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa Oktoba 2, pamoja na mwanae wa kiume kwa jina Naseeb Jr wake Tanasha Donna.
Zari Hassan naye hajafurahishwa na birthday party yake mpenzi wake huyo Diamond Platnumz. Wala hajamtakia kheri njema wala kuonyesha upendo kwani ameonekana kuwa busy na wanae Princess Tiffah na Prince Nillan wakienjoy life huko South Africa.
Zari ameonyesha kutojali kuhusu birthday yake Ex wake Diamond Platnumz. Pamoja na watoto wake hao, ametupia video huku akimsifia Princess Tiffah kuwa mrembo na kuchukua sura ya mama yake huyo Zari. Kisha wakaoneka wakielekea shopping na kufurahia maua kwenye bustani yao.
Hata hivyo, Diamond Platnumz ameenjoy siku yake ya kuzaliwa kifahari kwani hata bendi ya muziki ilialikwa kutumbuiza the Invite Only Event.
Diamond Platnumz na zawadi ya Keki na iPhone 13