Hii sio mchezo kabisa maana Simba amenaswa juu ya paa ya nyumba usiku.
Msanii huyo boss wa Wcb Wasafi anasekana amekutwa juu ya nyumba hio muda wa usiku wakati yeye na wenzake walikuwa kwenye harakati za Kushoot video ya wimbo mpya Kwa jina YATAPITA.
Hii ndio hali halisi usiku wa jana Jumapili kwani hata Diamond alionyesha uwonga mkubwa kupanda ngazi hio kwa mara ya kwanza huku akijinadi kuwa bora afungiwe chumbani na zaidi ya nyoka 1000 hawezi kuogopa kama vile alivyoingiza uwoga kupanda ngazi kwenda juu ya paa ya nyumba wakati wa shoot!
Tazama Hii video hapa ujionee makubwa!
Je, unahisi Diamond ni Simba wa kweli au ni Simba Marara?😂