Diana B ni kichaaa kweli kweli kwenye mistari hatari

“Form ni kurudi Soko ..” ndio wimbo wake mpya ambao amewachana vibaya rapper huyu wa Kenya mpenzi wake msanii Bahati.
Amemchana vibaya Zuchu, Diamond Platnumz, Tanasha Donna, Andrew Kibe na mastaa wengine kwenye hii Ngoma mpya.

‘Narudi Soko’ ipo YouTube now pata kuwatch hapa;
GIPHY App Key not set. Please check settings