in , ,

Edward Lowassa Afariki Dunia ! 😭🇹🇿

Aliyekuwa waziri mkuu nchini Tanzania afariki dunia mchana leo !

Edward Ngoyai Lowassa

Leo February 10, WaTanzania wagunikwa na winga la machozi baada ya kumpoteza aliyekuwa waziri mkuu Dkt. Edward Lowassa.

Katika majira ya Saa nane mchana leo jumamosi, Naibu Rais Dkt. Philip Mpango ametangaza taarifa za kifo cha Lowassa Kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Taarifa za kifo chake zinaarifu kuwa Lowassa alikuwa naatatizo ya Utumbo kujikunja, Matatizo ya mapafu, Shinikizo la damu.

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Chinese ‘Spy Pigeon’ Released In India 😅🇮🇳

Namaste – Masauti (Official Music Video) download !