Eid Ya Simba Diamond Platnumz Kubwa!🍿

Diamond Platnumz Eid Mubarak Offer 2021.

Eid Al Filtr hii hapa leo mwaka 2021 ambapo tayari shamrashamra za maandalizi ya sikukuu yanapamba moto.

Asikwambie mtu kitu babuu, yaani kila mtaa, msikiti, nyumba kunanukia Pilau na Michuzi ya ladha mbalimbali.

Je, wewe umealika Nani au umepata mwaliko wapi?

PHOTOS: Porn or what? Sexy Photos Of Keyan Socialite Emerge On Social Media!πŸ˜‚

Kutoka Wcb Wasafi, Diamond Platnumz ametupia bonge la ofa kwa jamiii mbalimbali nchini Tanzania kama ishara kutoa mkono wa Upendo na Msaada Kwa ndugu zake Waislamu wakati huu wa kufunga Mfungo mwezi mtukufu wa Ramadan.

Diamond Platnumz

Kupitia ukrasa wake wa Twitter, Simba alipost ujumbe kuwa Leo ataendesha shughuli nzima ya kutoa mkono wa Eid Al Filtr kwa wakazi wa mtaa na nyumbani kwake alipozaliwa na kukulia maeneo ya Tandale.

Meneja wa Wcb Wasafi na ndugu yake Ricardo Momo naye atakuwa akitoa mkono wa Eid kwao maeneo ya Kariakoo kwa hisani ya Wcb Wasafi.

Meneja wake pia Babu Tale ambaye pia ni mheshimiwa mbunge wa Morogoro Kusini atakuwa akitoa mkono wa Eid huko kwao Morogoro Mkuyuni hisani ya Wcb Wasafi.

Mkubwa Fella vilevile kwa hisani ya Wcb Wasafi atautoa mkono wa Eid maeneo ya Kilungule.

Hata hivyo Diamond Platnumz aka Simba hajasahau Mkoa wake wa nyumbani kwenye ndugu zake na familia, Kigoma.

Kigoma mtaa wa Sokoine huko shughuli nzima itaendeshwa na Mjomba Mrisho.

Diamond Platnumz aka Simba

Leave your vote

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.