in

Harmonize: “Nenda Ukalale Muziki Umekushinda Na Kofia Kasepa!” 🤣

Hii sio Poa kabisaa Yaani Simba anaibiwa hadi Kofia analia kama mtoto Tiffah!

Jana Usiku mjini Dodoma hapakuwa salama Kwa msanii Diamond Platnumz. Ameporwa Kofia mbele ya walinzi wake.

Simba alivyopanda stejini aliibuka na mavazi mengine tofauti na kofia nyingie (matching outfits)

Hata hivyo, mkali huyo wa Shu! Ameonekana kumkebehi msanii Harmonize aka Konde Boy Kwa maneno yake kwenye wimbo Wa ‘Je Utanipenda!’ Live Kwenye Wasafi Festival 2023.

Je ni kweli Simba ameibiwa Kofia kweli au ni Kiki zake?

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Christmas- Rayvanny (Official Music) 🎄

Just In: Kim Kardashian Holds An American Horror Story! 🧟‍♀️😡