Kutoka bongo Tanzania, MITEGO SASA inakuletea sura mpya msanii mwenye uwezo mkubwa.
Promoter wa muziki East Africa, Chatuu amepiga story na msanii kutokea Mwanza Tanzania anayekuja Kwa Kasi kwenye game ya muziki.

Kaka huyo anayejulikana kwa jina Baraka Jumanne maarufu kama ‘Jizzo Monster ‘ anafanya aina ya muziki wa Hip Hop, RnB, Bongo Fleva, Afrobeats na Amapiano. Kwa kweli ana kipaji sio mchezo.
Skiliza ngoma yake kwa jina MAISHA kwenye mtandao wa Boomplay now. Link hii Hapa;
https://www.boomplaymusic.com/share/music/110134324?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID