Mfalme wa rap Kenya ameguruma na wengi wameigiwa na hofu.
Msanii Kidis The Jembe amepost ujumbe wa kutatanisha kwenye Facebook account yake.
Msanii huyo ambaye ni wa kipekee kutokana na ujuzi wake mkali wa kusuka mistari moto kwenye muziki, ameonekana kuingia kwenye Bifu nzito na msanii ambaye bado hajamtaja.
Akizungumza na MITEGO SASA, Kidis The Jembe ameeleeza kuwa yeye hana kinyongo wala hajamlenga mtu yeyote kwenye caption yake aliyopost Facebook.
Hii hapa screenshot ya post yake pale Facebook.
Je, unahisi kuwa Kidis The Jembe ameficha Ukweli kuhusu kumdiss msanii Fulani kupitia hio caption?ππ°πͺ