Je msanii mkubwa wa bongo fleva amepagawa au ndio Kiki kusaka?!
Ali Kiba maarufu kama King Kiba amepost ujumbe mzito wenye maana fiche huku alionekana kuwa wachamba watani wake wa muziki.
Kupitia page yake ya Instagram amepost ujumbe ufuatao kwenye screenshot.


Je umemwelewa msanii King Kiba!?