Majanga haya sasa Ona Simba anamkataa mtoto wake Dylan?
Msanii Diamond Platnumz amekuwa gumzo baada ya kuibuka tetesi anamkana mtoto mvulana aliyemzaa Pamoja na Hamisa Mobetto.

Simba kwa sasa yupo nchini Kenya kwa ajili ya bonge la Tamasha la Tusker – Oktobafest hapo Kesho Sunday Nairobi.

Hivi majuzi ameoneka Kwenye sehemu mbalimbali aliwa na watoto wake wengine kama vile Princess Tiffah, Prince Nillan hawa ni wake na Zari The Boss Lady lakini pia alikuwepo mtoto Naseeb Junior wa Tanasha Donna.
Kwenye event hio aliyohudhuria na wanawe hao aliachwa mtoto Dylan wa Hamisa Mobetto. Je anampenda huyo mtoto au ni Kiki tu??
GIPHY App Key not set. Please check settings