Lilian Muli Atongoza Mwanaume Live Kwenye Radio! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ป๐Ÿคฃ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

Mwanahabari mrembo kutoka Ukambani amwaga ya moyoni.

Mwanahabari huyo wa Kituo cha runinga cha Citizen (Citizen TV) amefunguka mengi wakati akiwa kwenye mahojiano kwenye pindi kimoja kwenye Radio Maisha.

Lilian Muli amesema kuwa yeye pia ni mlevi wa pombe japo sio wengi wanafahamu hilo.

Baada ya kulizwa kati ya Willis Raburu, BenGithae na Ken Wa Maria, yupi anaweza kumpa Kiss, na yupi anaweza kukubali kwenda date naye, na Nani anaweza kumpiga Kofi, Lilian Muli akasema hivi;

“Naweza kukiss Raburu, Niende date na Ken Wa Maria, Nimslap au kumpiga Kofi Ben Githae”

Mwanadada huyo vilevile amekiri wazi kuwa yeye ndiye anatongoza wanaume sio wanaume kumtongoza.

Alienda kwa kumtania kumtongoza mwanahabari huyo Billy Mia wa Radio Maisha aliyekuwa akimhoji.

“Sasa sweety, how are you, si Leo nikupeleke out Kiambu Kwa ride ya Rangeโ€ฆ” alisema Lilian Muli.

Je, unaweza kukubali kutongozwa na kupelekwa date na mwanamke ukiwa mwanaume? ๐Ÿค—

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.