Live: Tembo vs Simba Nani Mkali? πŸ˜…βš½

Kwa wale mashabiki wa muziki mzuri wa bongo fleva, basi ni wataarifu tu mtakuwa na jingine la kijuongeza.

Msanii Harmonize ameweka wazi nia yake pamoja na wasanii wenzake nchini Tanzania kuandaa shindano LA mchezo wa soka (mpira miguu) Ili kusudi kusaidia ria wanaoishi maisha yenye changamoto na mitihani migumu kijimudu kimaisha.

Je, hilo sio jambo la faraja lenye faida kwa jamii?

Kwa mujibu wa ujumbe aliyopost kupitia kwa Instagram account yake, Harmonize ametaja msanii Ali Kiba pamoja na mwanasoka maarufu Tanzania na Afrika Mashariki, Mbwana Samata kama ndio chanzo cha Foundation hio yenye hashtag #Nifuate.

Harmonize japo kuwa hatoweza kuhudhuria pambano hilo la tarehe Juni, 16 Jumamosi kwa kuwa atakuwa nchini Congo kwenye show yake ya kutumbuiza mashabiki wake huko, amewatakia wataoshiriki kila la kheri huku akitaja kuwa kikosi chake cha Konde Gang F.c kitamuwakilisha vilivyo. Hii hapa screenshot ya alichokipost Harmonize aka Tembo.

Je, Diamond Platnumz na Konde Boy nani mkali kwenye game la Soka.?⚽🀣

Leave your vote

1 Comment

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.