Baada ya kuondoka WCB Wasafi amekuwa moto wa kuotea mbali.
Videographer wa Diamond Platnumz bwana Lukamba alipoondoka Wasafi,alianzisha Lebo yake na kufanya muziki kama msanii.
Lukamba ameachia ngoma kadhaa ikiwemo hii yake mpya Kwa jina Mariana.
Hii hapa Kwa ajili yako upate kiwatch pia;
GIPHY App Key not set. Please check settings