Lyrics: ‘Kimya Milele’ – Aga Rapper ft Super Kali

Sioni ramani na mlango wa kutokea
Nahisi parapanda mbinguni ndio naelekea
Makaburini ndugu nao wanalia
Kama mdizi hupandwa bora maisha sogelea
Nakumbuka umauti kabla hujanifikia
Lini linipiga goti mwenyez kumsujudia
Ooooh my God kashuka na malaika
Nini nitafanya ili aweze kuniacha
Oooh my God kashuka na malaika
Sina cha kufanya nazidi kutetemeka
Machache yaliofichwa yatasemwa siku nikifa
Nikiwa nimezikwa watanipa zangu sifa
Wata take my picha na kupost kwa insta
Watanipa sifa kwangu hazitasikika
Wataandika R.I.P nilale mahali pema
Ila mi siwasikiiii….

Chorus….

Baba nisamehe dhambi zote kitabu cha hukumu jina langu fute mishumaa juu ya jeneza sina budi kwenda kwa Ebeneza
Mishumaaa juu ya jeneza sina budi kwenda kwa Ebeneza ×2

VIDEO hii hapa, tazama; https://youtu.be/hh60gQpGO10

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.