Mastaa Wa Muziki Pwani Wakutanishwa, Wanaumiza Vichwa Studioni! πŸ™†πŸ»β€β™€οΈπŸ‡°πŸ‡ͺ

Hii ndio collabo moja matata ambayo huenda ikaleta mwamko mpya kwenye game la muziki.

Kutoka Pwani ya Kenya, wasanii wenye mvuto amekutanishwa na bwenyenye mmoja Kwa ajili ya kuandaa collabo ya pamoja kama wasanii wa Pwani.

Mabingwa hao ni pamoja na mkali Pday, Susumila, Dazlah, Ally B na Chikuzee.

Watano hao wameingia studio mjini Gatundo kurokodi Ngoma hio tayari.

Je, inawezekana ni wimbo wa kisiasa wa kumpigia madebe mgombea fulani kwenye siasa na uchaguzi wa mwaka hujao?

Lipi wazo Lako?😁

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.