Msanii hodari wa nyimbo za mahaba Tanzania Mbosso anatangazwa kupotea!
Je, Umemuona Mbosso?

Mkali huyo aliyechini ya usimamizi Wa WCB Wasafi kwenye muziki wake, ameachia wimbo Mwingine wa moto zaidi.
AMEPOTEA’ ndio ujio wake mpya sasa Kwenye YouTube yake.
Hii hapa link upate kutazama video yake mpya!
GIPHY App Key not set. Please check settings