Msanii wa muziki bongo fleva Mbosso Khan ameibua mapya kwa kuonekana kwa Sanamu.
Mbosso ameripotiwa kumiliki bonge la Mkufu wa dhahabu wenye sura yake .
Amekuwa msanii wa pekee kumiliki aina ya necklace yenye sura ya msanii halisi nchini bongo Tanzania.
Diamond Platnumz boss wake amempongeza sana kijana wake kwa kuonyesha umahiri Kwenye Kazi yake ya muziki.
Hii hapa Picha ya necklace ya Mbosso mpya.
Je, unaipa asilimia Ngapi Kwa Mia ?


GIPHY App Key not set. Please check settings