Mzee wa Tumbler’ aka Mejja Mgenge anazidi kujiongeza.
Msanii huyu wa Gengetone Kenya amepost Kwenye Facebook account yake kuhusu ujio mpya wa collabo na msanii hodari kutoka Bongo Fleva Tanzania,Jay Melody.

Mejja ameandika Kwenye caption ya Picha kama ifuatavyo;
“Hii itasumbua miaka mia sita hamsini…
Mejja Genge x jay melody tz..💯♥️”
Je,unahisi collabo kati ya Mejja na Jay Melody inaweza kuwa kali sana kama anavyodai Mejja?
GIPHY App Key not set. Please check settings