in

‘Naringa’ – Zuchu (Official Music) New Download!👌

Kutoka Kwa Msanii Zuchu aka Sukari ni Kazi mpya tena ya moto zaidi.

Mrembo huyo kutoka Wasafi Classic ameachia ujio wake huo siku ya Leo Alhamisi na Kwa sasa muziki Unatesa zaidi pale YouTube.

Hii hapa link ya Ngoma yake mpya Kwa jina Naringa’

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Sababu Kubwa Ya Diamond Karanga Kupigwa Marufuku! 😫

Ommy Dimpoz Na Diamond Platnumz Tena New Collabo! 🎧🔥