Nyoka Wa Ajabu Adondoka Garini Kutoka Juu Na Kuuma Dereva Mwingi Ya Kati! πŸ˜€πŸ˜­πŸ’€


Mwanaume ambaye alikuwa kwenye gari akisafiri apata majeraha mabaya baada ya kung’atwa na nyoka.

Baada ya kuumwa na joka jilo lenye sumu kali aina ya Swila, alikimbizwa hospitalini kupata huduma za madibabu ya sumu ya nyoka.

Kutoka na taarifa ni kuwa nyoka huyo Mkubwa alidondoka kwenye gari lake aliyokuwa aliendesha mwenyewe eneo la Mbungu huko Mwingi ya Kati.

Baadhi ya walishudia mkasa huo uliotukia Mwingi, walisema kuwa Mwewe ndiye aliyekuwa amebeba nyoka huyo huko juu angani kabla ya kumponyoka na kudondokea garini.

Nyoka

Mwanaume huyo aliumwa kwenye mkono japo raia walipojaribu kumtoa nje ya gari huyo nyoka ili kumuua, yule Mwewe alishuka haraka na kunyakua nyoka wake huku alimnusuru Kifo kutoana na umma walikuwa amefika kumuua.

Chanzo: Musyi Fm

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.