OMMY DIMPOZ AMSINGIZIA UCHAWI DIAMOND PLATNUMZ💀🇹🇿

Msanii wa bongo fleva aliyefanya vizuri hapo nyuma kwenye game la bongo fleva Tanzania amefunguka ya moyoni.

Omar Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka ya moyoni kuhusu kutengana na Diamond Platnumz.

Wawili hao walikuwa marafiki wakuu siku za hapo nyuma kwani walionekana kwenye sehemu mbalimbali pamoja, kwenye collabo za muziki, matamashani na maeneo tofauti tofauti.

Leo hii msanii huyo wa labo ya ‘Poz Kwa Poz’ amemsingizia uchawi Diamond Platnumz aka Simba.

“Nilipokuwa karibu na Diamond Platnumz alinifunza mambo ya uchawi, alikuwa akinipeleka kwa waganga wake lakini hao waganga walimpa ushauri kwamba asinisaidie tena kwani ninaweza kumpita kwenye muziki kutokana na nyota yangu Kubwa” alisema Ommy Dimpoz.

Je, unadhani Diamond Platnumz ni mshirikina?

Dondosha comments zako hapa chini ambatanisha na Emoji Moja!😁

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.