Kwani Nini Msanii Diamond Platnumz amewapost watoto wake Hawa?
Simba Diamond Platnumz ana watoto wangapi?

Platnumz ana watoto zaidi ya Watatu akiwemo Princess Tiffah, Prince Nillan , Dylan na pia Young Simba Naseeb Junior.
Ni msanii mmoja kati ya wasanii wakubwa duniani wenye kumiliki Wanawake na familia tofauti tofauti.
Je nani kati ya hawa wote anafanana na baba yake Diamond Platnumz??

GIPHY App Key not set. Please check settings