in

Picha: Hii Ndio Kofia Diamond Ameibiwa Dodoma Akalia Kama Mtoto! 🥲🧢

Mbona Simba amelia kama mtoto ndogo , Tiffah Dangote?

Kuamkia Leo msanii nguli wa muziki kutoka Wasafi Tanzania, ameoneka kukerwa na tukio la wizi liliotokea akiwa anaelekea jukwaani Dodoma City kwenye Wasafi Festival 2023.

Pamoja na meneja wake na bodyguard, Kofia yake iliporwa kutoka Kwa Kichwa na mmoja wa Watu waliokuwa pembezoni wakimsifu na kumfuata Diamond Platnumz.

Kofia hio yenye nembo ya mpira wa Kikapu (Basketball) ya huko Marekani- Boston inasemekana kuwa ni ghali mno kwani kiasi cha gharama ya Kofia ni kadri Dollar $50 .

Je msanii mkubwa na Tajiri kama Diamond Anafaa kulilia Kofia? 🤣

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

How To Watch All World Channels On Your TV For FREE using Sim Card!

Nigerian Drone Strike Kills Thousands In A Religious Festival! 😨