Msanii mkongwe Kwenye game la muziki nchini Tanzania amerudi tena.
Q Chief alizama Kwenye muziki kitambo kidogo na hajafanya Kazi mpya karibu ila kwa sasa ameibuka mzima mzima.
Ngoma yake mpya Kwa jina Ukikaa Vibaya imedondoka kitaani akimshirikisha msanii rapa matata mkongwe Kwenye muziki, Professor Jay.
Skiliza Audio yako mpya hapa;
GIPHY App Key not set. Please check settings