“Tafadhali Raila Odinga, make the maandamano Monday to Monday. Gachagua alisema serikali inapoteza pesa na wamepewa KSh 802 million ya kununua magari?” comedian Eric Omondi has suggested.
“Wakenya hawana pesa. Serikali ikose pesa vile Wakenya wamekosa pesa. Hatuwezi kuwa sisi tunakufa halafu watu 2 million huko juu wanaishi. Conversation ni bei ya unga, mafuta, gas, maziwa iende chini. Raila akishindwa, sisi tutaweka maandamano,” Eric added.

Photo: Eric Omondi (Instagram)
Source: Tuko.co.ke
GIPHY App Key not set. Please check settings