in ,

“Sijapenda”- Zuchu Pabaya Baada Ya Trixy Tonic Kuwa Number One Wa Diamond Platnumz! ❤️

Kweli Wasanii wanamaigizo ya ajabu mno. Haswa wale wa Bongo Tanzania.

Story za chini ya kapeti zinatamba kuwa eti Simba amepata jike shupa la kishua. Au ni uzushi?

Na je, Zuchu mwenye ‘Sukari’ yuko wapi?

Hivi sasa inadaiwa kuwa Diamond Platnumz ameshamtema mpenzi wake msanii wa Wasafi Zuchu. Kisa na maaana amemvumania Kwenye Love vibe na msanii kubwa Nigeria, Burna Boy.

Platnumz amekoleza Penzi Kwa dada mmoja anayetamba Kwa Jina Trixy Tonic. Huyu ni msanii pia. Ni mkali Kwa mashairi yake so kitoto. Simba Amependa!

Picha za msanii Trixy Tonic

Kwanza Trixy ameachia baadhi nyimbo zake Kwenye YouTube channel yake. Kuna Ngoma za kumshukuru Mungu Kwa ‘Blessing’ zake , ‘Kupiga X’ wimbo Wa kuwakataa Haters wake lakini pia ‘Kamua’ ya kuchangamsha wakati Wa Hustling.

Je unapenda ipi kati ya hizo ?

Link Hii hapa ili kuenjoy Kazi zake live!

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

How To Catch A Cheating Woman So Easy! 💔

Christmas- Rayvanny (Official Music Video) Download!