in

“Ukiamkia Chai Mimi Naamkia Makali” Mejja Brags About His Wealthy Lifestyle! 🍻🍾

Yule Mejja mzee wa Tumbler amefunguka mapya.

Mejja ameweka wazi kuwa yeye hafananishwi na mtu yeyote kwani maisha yake ni yake na hataki ushindani.

Kupitia account yake ya Facebook amepost a very controversial message kuhusu life yake.

Mejja

“Hatuwezi fanana…we ukiamkia chai Mimi naamkia makali…
Na kuna mtu hata hajaona hio chai…..so be thankful for everything you get…Huku inje sio Kurahisi vile unafikiria
🥺💔” yeye kamaliza hivyo.

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Female Musician Opens Her ‘Server’ In Public Club For Fun!👙😍

‘Love Fest’ Pallaso’s Mega Concert Set To Go Down In April! 😍🇺🇬