Hutoamini kabisa alichokisema huyu moto mdogo kwa baba yake mzazi live.
Yaani hapa ndipo mzazi amefikishana na mtoto wa kike?
Msanii wa bongo fleva maarafu kama Shetta kazidi banaaa. Kwenye video clip aliyoipost kwenye Instagram account yake, anonekana live akidiss watoto wake.
Hapo hapo Shetta anapokezwa makavu yote na binti yake huyo ambaye yupo kwenye sare ya shule.

Shetta anamwambia bintiye; “Una Sura Mbaya…” huku bintiye akimjibu, “Kama Yako, coz nilichukua sura Yako”!
Hiki hapa kipande cha matukio ya video hio. Tazama!