Wema Sepetu Aweka Wazi Tatizo La Diamond Platnumz Kitandani!πŸ™ŠπŸ˜ƒπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Je, umeyeskia yote ambayo kipenzi chake za zamani Diamond Platnumz alichokifichua kuhusu kuvunjika kwa Upendo wao?

Leo hii ndio amefunguka vizuri tu tangu mahusiano yao yavunjike miaka kumi iliyopita.

Wema Sepetu aliyekuwa ndiye mpenzi wa Diamond Platnumz siku za mwanzoni akiwa bado ni msanii chipukizi ameanika Ex wake huyo ambaye kwa sasa ndiye King wa bongo fleva kote.

Kupita video iliyosambaa mitandaoni, Sepetu aliyewahi kuvikwa la Miss Tanzania mwaka 2009, ameweka wazi kuwa yeye licha ya kuwa alimpenda Diamond Platnumz, alikuwa ana nguvu za kiume.

Simba ameshtumiwa madai hayo na Sepetu ambayo tangu wameachana kimahusiano, Sepetu angali hujapata mtoto huku Diamond Platnumz akiwa tayari na familia na zaidi ya wanawake watatu huku kila mwanamke akiwa na watoto damu yake Diamond Platnumz.

“Moja ya vitu ambayo vilisababisha Mimi na yeye (Diamond Platnumz) kuachana, ni yeye kutokukosa nguvu za kiume. It was bad for me, coz kila mtu huwa na matamanio yake..”akasema Wema Sepetu

Huyu hapa Sepetu mskilize vizuri utamuelewa.

Leave your vote

Leave a comment

Log In

Forgot password?

Don't have an account? Register

Forgot password?

Enter your account data and we will send you a link to reset your password.

Your password reset link appears to be invalid or expired.

Log in

Privacy Policy

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.