Msanii Willy Paul maarufu kama Pozee amedaiwa kula Njiwa wake Msanii Jay Melody.
Jay Melody akizungumza na Mseto East Africa, ameweka wazi kuwa yeye ndiye aliandika wimbo huo maarufu kama Njiwa’ alioimba Willy Paul akimshirikisha Nandy.

“Wasanii hawalipi vizuri” ndio kauli yake Msanii Jay Melody akizungumzia malipo aliyopata kutoka Kwa Msanii Pozee.
Je, unadhani Melody anasema ukweli au ndio anasafiria nyota ya Pozee!?🥵
GIPHY App Key not set. Please check settings