in

Zuchu Ajipata Pabaya Kisa Kumchizisha Kayvinn Balaa!😫


Mapenzi kweli hayafichiki kwani msanii kutokea Kenya ameishia kuchizi kisa Mapenzi.

Jamani kupendwa Raha na ukipata anayekuenzi ni sharti umpe Moyo na upendo Wa Dhati. Kisa Cha msanii wa Bongo Fleva Kenya kupagawa na Penzi la msanii Zuchu limefikia meza yetu ya umbeya.

Zuchu Uko wapi? Kayvinn amepagawa Kisa wewe tu kwani amesema uzuri wako wa hurulaini hakuna kama wewe duniani!

Kayvinn na Zuchu Penzini

Mkali huyo wa muziki Kenya anafanya vizuri Kwenye game la muziki Kwa Sasa kwani ameachia nyimbo kadhaa za mapenzi ikiwemo wimbo wa Unapendeza’ ambao ndio wa hivi Karibuni.

Kwenye wimbo huo amemsifia msanii huyo malkia wa Wasafi hadi kuamia kufanya wimbo hio kama special dedication kwake.

Je, Kayvinn Atawezana na Penzi la Malkia msanii Zuchu??

Dondosha comments zako hapa chini:

Hii hapa link ya wimbo mpya ‘Unapendeza’ watch now!

What do you think?

Written by Antony Mckenzy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Next On Wasafi D- Voice Gets Signed In! 📣🥳

Bahati Caught Red Handed Begging For Love With Nadia Mukami ! 😫