Zuchu baada ya kutemwa na Diamond Platnumz, sasa ameamua kufanya ya kwake.
Msanii huyo wa WCB Wasafi ameachia wimbo wake mpya unaozungumzia maisha yake baada ya kuachwa na Simba’ Diamond Platnumz.
Napambana ndio wimbo wake mpya Kwa sasa pale YouTube.
Bofya link hapa chini ili kuskiliza;
GIPHY App Key not set. Please check settings